
Tanzania is divided into thirty-one regions (Tanzania ina mikoa 31 ambayo ni)
Tanzania imegawanyika katika mikoa 31 (miji mikuu imewekwa kwenye mabano):
- Arusha (Arusha)
- Dar es Salaam (Dar es Salaam)
- Dodoma (Dodoma)
- Geita (Geita)
- Iringa (Iringa)
- Kagera (Bukoba)
- Katavi (Mpanda)
- Kigoma (Kigoma)
- Kilimanjaro (Moshi)
- Lindi (Lindi)
- Manyara (Babati)
- Mara (Musoma)
- Mbeya (Mbeya)
- Morogoro (Morogoro)
- Mtwara (Mtwara)
- Mwanza (Mwanza)
- Njombe (Njombe)
- Pemba Kaskazini (Wete)
- Pemba Kusini (Mkoani)
- Pwani (Kibaha)
- Rukwa (Sumbawanga)
- Ruvuma (Songea)
- Shinyanga (Shinyanga)
- Simiyu (Bariadi)
- Singida (Singida)
- Tabora (Tabora)
- Tanga (Tanga)
- Zanzibar Kati/Kusini (Koani)
- Unguja Kaskazini (Mkokotoni)
- Unguja Magharibi (Zanzibar)
- Songwe Region (Vwawa)
Mikoa hiyo yote imegawanyika tena kwenye wilaya 146.

No comments:
Post a Comment